Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2012

    KUWA NA FUNGU SI LAZIMA UMETIA TIMU ZE SKULI.MKINGA HUYO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2012

    Du!!! message sent

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2012

    ya ukweli hii

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2012

    Jamani sijui jinsi ya kupost hii info ili isitokee kama comment but ni msaada, Michuzi tafadhali naomba tuwekee orodha ya watu waliopata viwanja awamu ya pili kigamboni tafadhali maasa last time walipost kwenye website yao lakini hivi vya awamu ya pili hawajaweka na hata yale waliyokuwa wameweka kwa mara kwanza wametoa

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2012

    Angeandika "Hakuna Mjadala" angeeleweka zaidi. Sijui ni kwa nini tunapenda kutumia lugha tusiyoijua vema!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2012

    Aminia...kiswanglish

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2012

    siyo siri wengi wetu watanzania kizungu kinatubiga chenge kukiandika na kukisoma isiwe shida sana jambo hili kwa sababu si lunga yetu muulize nchini au mfaransa etc kama wanakifagilia sana kizungu, ni kweli inatubidi tujifunze lakini ni jambo dogo sana siyo kulivalia njuga na kuja kuliweka haradhani hapa kwenye blog yako michuzi

    kumbuka ukijua wewe hili kuna linginewe hulijui binadamu wote si sawa.

    acheni kuwasanif watu mnaacha kuzungumzi maneno ya maana mafisadi wana kula nchi kila leo na kukaa vikao na kongamano watu wanakufa bure bure halafu leo mnaleta mzaha pumba tuuu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2012

    It makes sense phonetically, to be fair!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 26, 2012

    Humour is important in the blog, basi nyie mnataka kukisifa CHADEMA humu, wengine hatuna vyama wala hatuna interest. Kuna mtu amesema humu 2015 anataka Rais muadilifu na mcha Mungu hata kama kachanganya vimada na kuzaa nao.!!!!!!!30

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 26, 2012

    Anonymous said...
    siyo siri wengi wetu watanzania kizungu kinatubiga chenge kukiandika na kukisoma isiwe shida sana jambo hili kwa sababu si lunga yetu muulize nchini au mfaransa etc kama wanakifagilia sana kizungu, ni kweli inatubidi tujifunze lakini ni jambo dogo sana siyo kulivalia njuga na kuja kuliweka haradhani hapa kwenye blog yako michuzi

    kumbuka ukijua wewe hili kuna linginewe hulijui binadamu wote si sawa.

    acheni kuwasanif watu mnaacha kuzungumzi maneno ya maana mafisadi wana kula nchi kila leo na kukaa vikao na kongamano watu wanakufa bure bure halafu leo mnaleta mzaha pumba tuuu

    Thu Jul 26, 06:09:00 PM 2012

    KWA WATU TUNAOTAFUTA VYOTE HABARI NA UTAMU WA LUGHA, KWA HAKIKA TUKO MATATIZONI SANA. WATANZANI WENGI HATUJUI VIZURI KISWAHILI TUNACHOKIDHARAU NA TUNABABAISHA KIINGEREZA TUNACHOKIPAPATIKIA !

    sesophy

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 27, 2012

    Ni 'NO DISCUSSION' na sio 'NO DESCUTION'

    Jamani twende English tuition ku polish lugha zetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...