Villa park inakuletea Vunja jungu na likizo time, ni tamasha la aina yake, likianza siku ya alhamisi katika usiku wa pwani tarehe 12.07.2012 ambapo kiingilio kitakua tsh. 3000/= pamoja na zawadi kedekede. Ijumaa ni shughuli pevu ambapo mkali wa Hip hop ambaye amejizoelea umaarufu mkubwa hivi karibuni ROMA MKATOLIKI atapagawisha mashabiki wake katika ukumbi huo wa Villa kwa kiingilio cha tsh. 5000/= tu. Bendi ya Super Kamanyola kama kawa, itaendeleza mkito wake kuanzia siku za Jumatano hadi Jumapili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...