Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha Club, wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo, Julai 03, 2012.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2012

    wamevaa local sana! wangevaa ofc wear,huwezi kuvaa dira bungeni!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2012

    "Beauty is in the eye of the beholder".
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2012

    kumbe nguo ndefu wanazo!wavyotuvalia vichupi mitaani?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2012

    Utafikiri ni wawakilishi wa Burkina Faso, Niger au Mali hivi!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2012

    i wish siku moja mavazi yawe kama haya kwenye mchuano wa ma-miss

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2012

    Walifika Bungeni na visuruali vyao, walirudishwa ili wavae nguo za staha. Nadhani walikimbilia madukani wakachagua hayo madera fastafasta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...