Hapa ni jijini Arusha inakosemekana badhi ya wakaazi wake wana aleji ya kufuata sheria...yaani wanaweza kufanya lolote na hakuna kufanywa chochote. Picha na Mahmoud Ahmad wa Globu ya Jamii Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sasa kama umesema "....wana aleji ya KUFUATA sheria..." kwa nini basi wasizifuate? Huo MSHIKAKI unadhani patokee ajali patakuwa na manusura hapo? Au huyo dereva ayumbe kidogo tu kwenye 'sharp corner' au afunge brake ghafla bin vuu! unadhani hao watoto wadogo tu, watakuwa na balance ya kukumbatiana mithili hiyo, si wote watapururukia barabarani. Tujaribu kuzifuata sheria na taratibu zote za barabarani zilizowekwa, ili kama si kuzipunguza, basi iwe kuziondosha kabisa ajali za barabarani, japokuwa tunaamini ajali haina kinga, lakini pia KINGA NI BORA KULIKO TIBA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2012

    Hapo mahali ni pasafi sana! Hongereni Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...