Ankal akitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, ambako baada ya kutangazwa kwa maombolezo rasmi ya siku tatu kufuatia kifo cha Rais wa nchi hiyo Hayati John Evans Fiifi Atta Mills. Rais huyo, aliyefariki Julai 24, 2012 kwa saratani ya koo, anatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii katika mazishi yanayotarajiwa kuhudhuriwa na marais 16 pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mama Hillary Clinton.
Home
Unlabelled
ankal atua accra, ghana, jiji linalozizima kwa maombolezo ya msiba wa rais john atta mills
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hivi unko mimi nina swali....Hiyo T-shirt haichujuki wala haiishi wala haichaniki wala haina doa? mh! Hebu tueleze wadau wako tujue. Kwa kweli toka niijue hii blog yako hiyo tishirt nayo ilisha kuwa ina exist. Sasa kaka hapo imekaaje hii?
ReplyDeleteAnkal kila la heri......ACCRA mji wenye kumbukumbu nyingi katika maisha yangu.....ndio ulikuwa mlango wa mimi kuhamia ughaibuni.....
ReplyDeletezeeee fulanazz ankal!!!! ha! ha!ha! super sana!
ReplyDeleteHivi hiyo "Ze Fulana" yako, huwa ni kama vile 'emblem' yako au ni kitu gani? Ina maana unazo kadhaa zinafanana au ndio ile ile moja ya miaka hiyo kama ya dawa? Laiti kama ndio hiyo hiyo, basi unajuwa kutunza na umaridadi juu, hongera kwa kuienzi ZE FULANA yako, mana ingalipo tu, haichujuki na wala haichakai, utadhani imetengenezwa kwa kwa nyuzi za chuma!
ReplyDeleteBy the way, kila la kheri nchini GHANA na pia kwa kutuwakilisha Watanzania wote kwenye msiba (Mazishi) ya Hayati:John Evans Fiifi Atta Mills (1944-2012) May GOD rest his soul in eternal peace - AMEN.
inawezekana anazo nyingi za aina hiyo hiyo maana niliwahi kuwa na rafiki akienda dukani akipenda shati anayanunua saba hivi so inawezekana ankal ni mmojawao maana haiwezekani shati likawa hivyo siku zote au inawezekana ndio nembo yake pia hahaha
ReplyDeleteDuh! hiyo T-Shirt yako bado ipo tu,
ReplyDeletewewe mtoa maoni hapo juu, kwa nini mnakuwa hamna kitu cha msingi cha kutoa maoni ??? mtu mzima kweli na ndevu chini,halafu unakuwa na akili zilizojaa pumba namna hii ?? eti T-shirt haiishi wala kuchanika !! swali gani hilo ?? is that common sense ? nina suruali nilishonesha India miaka 20 iliyopita ,mpaka sasa ninayo na bado mpyaa,of course naivaa siku moja moja kwenye event kama vile t-shirt ya Ankal. I hope i answered your NOT smart question dude. Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteAnkal kila heri.... ebu jaribu kudodosa, manake ww ni mwana habari,kuna mambo mengi hapo yanafanyika Accra=Dar(copyright)
ReplyDeleteDavid V
ze fulanaz.......
ReplyDeleteLishe Ghana,
ReplyDeleteAnkal Waghana popo (njiwa wa usiku) kwao ni kitoweo !
Jihadhari ukiona vipapatio vimebanikwa na tui la nazi la kuchaza,,,Mnhhh usile uliza kwanza!
Ankal Dakitari au (Mwalimu)au Sheikh aliyekukabidhi hiyo fulana, ah naona ni siri yako huwezi kumwambia mtu ni nani?
ReplyDelete