Mkurugenzi mkuu wa Babyshop,Bw Malcolm Schulz akihojiwa na waandishi wa habari katika uzinduzi wa duka lap jipya lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam
Bw Malcolm Schulz, Mkurugenzi Mkuu wa Babyshop akiangalia matoyi muda mfupi baada ya kufanyika uzinduzi rasmi wa duka hilo.
Wateja wakusubiria nje ya duka la babyshop na watoto wao
Wateja wakisubiria ufunguzi wa duka la Babyshop jijini Dar es Salaam
Wateja wakisubiri kulipia vitu mbalimbali ambayo wamenunua hapo Babyshop
Mteja akiangalia nguo za mtoto wake ndani ya duka la Babyshop.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mkurugenzi mzawa hakuna?

    ReplyDelete
  2. Anony Thu Aug 09, 02:36:00 PM 2012 ushindwe na ulegee kwa ubaguzi.
    Nguo za watoto zinaonekana nzuri.

    ReplyDelete
  3. eti Ghana Dubai ya africa, ndivyo alivyokudanganya ??? Waghana wako bongo kibao na wenyewe kwa kauli zao wanasema bongo ni babu kubwa.Halafu wewe unayesema UK kuna kazi !!!! chunga mdomo wako, usiwafanye wana olympic wetu kuzamia bure kisha wakaoshe vyombo kwenye restaurant za waarabu na waturuki,halafu malipo ni kula yao tu maana hawana makaratasi.Acha uongo.Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza, mkurugenzi kwa hapa UK ni mwenyemali au kampuni yake au ana hiza nyingi au rafiki wa mwenye mali. Wafanyakazi ndio wanakuwa hao uliowataja.

    ReplyDelete
  5. Inapendeza na kutia moyo na zaidi furaha kwa watoto wetu, kwani wataweza kunufaika na vitu mbali mbali vya kuchezea na nguo mbali mbali toka katika duka hilo la BABYSHOP. Angalau na sisi sasa tuna 'Mother Care' yetu. Pia Samsonite shop ipo, hivyo wa kusafiri safiri mambo mazuri kwenda na wakati kwa kujichagulia design unayotaka,

    ReplyDelete
  6. Baby shop,Splash,Centre Point,Lifestyle ni mali ya LANDMARK Group headquarter yake ni Manama Bahrain na Regional office ni Jebel Ali- Dubai.wana maduka na branches Middle East yote pia Dar na Nairobi ndio waanza kufungua maduka yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...