Simu aina ya Blackberry Storm inauzwa,ipo katika hali nzuri,ina mfuko wa kubebea,Kava  zake 2,Hear Phone,Charger,Screen protector.Imetumika  mwezi mmoja tu. Kwa mawasiliano piga simu namba 0655218990
bei ni sh 320,000/=

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. brand new bei gani? mwezi mmoja huenda umeikorofisha utumbo... kwa ndani hakuna uhakika wa uzima..

    ReplyDelete
  2. Hear Phone :)

    ReplyDelete
  3. china hiyo

    ReplyDelete
  4. nilikuwa na swali lakini naona mdau ameniwahi..hear phone ni kitu gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...