Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mara baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, ukiwa ni mwendelezo wa kampeni za Operesheni Sangara. (Picha na Joseph Senga)
Wakazi wa mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha Peoples Power, wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, juzi. (Picha na Joseph Senga)


Tatizo Vijijini ni Msimamo wa Kisiasa !
ReplyDeleteMnanunua Kadi kwa hela yenu ya ngama ya kudunduliza Kijijini Ruaha kwa mauzo ya fungu za bamia na nyanya chungu lakini wakati Kampeni za Kupiga Kura mnakuja kuponzwa na ubwabwa, khanga na fulana.