Home
Unlabelled
Changamoto za kuzamia ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nafikiri kwamba,binadamu walio wengi hawaelewi kwanini wako duniani.Tangu kuzaliwa hadi kufa kwao ni nini sababu kubwa ya safari hii maana kuna watu tangu wamezaliwa mpaka wamekufa wameishi miaka 50'wengine 80,wengine wameishi miaka 10 tu.
ReplyDeleteMaoni yangu ni kwamba sababu kubwa ni kujitambua wewe umeumbwa na nani na ujiridhishe namna gani.Kwa matajiri wanakusanya mali yet wanakufa sawa na maskini na wakati mwingine maskini anaishi muda mrefu kuliko tajiri. Kwahiyo tunahitaji kumtambua muumba wetu na kujiridhisha nafsi zetu.Kama unarudi Africa unakuwa unaridhisha nafsi yako.Na kama unakwenda ulaya unakuwa unaridhisha nafsi yako.usimwambie mtu kwamba asiende mwache aridhishe nafsi yake.Cha muhimu tusimsahau muumba wetu
Jiripue, nani kakwambia uende ulaya masikini, njoo UK hapo kazi kibao kitu muhimu ujiripue tu.
ReplyDeleteKuna wabongo wanajiita wakimbizi wa Ruanda. Kazi kweli kweli.
ReplyDeleteKama huna elimu sawa na mimi naunga mkono kuwa Ulaya kuna maisha...lakini kama una elimu yako...utaishia kuwa frustrated...maana kazi za manual mtu na elimu yako lazima uishie kuwa depressed, ukizingatia ela yenyewe wanayolipa ni kiasi ya mboga
Wandugu Majuu hasa mlokwama:
ReplyDeleteMfanye utaratibu na uamuzi wa busara kurudi nyumbani.
Acheni ubishi!!!
Baraaaa
ReplyDeletemnataka tubaki Bongo tuchomwe moto?
ReplyDeletewatu wote kimya! si the UK, ND, USA, SPAIN, UGIRIKI n.k
ReplyDeleteToeni ushuhuda wadau wa ughaibuni.
Mdau
Tandale Kwa Mfuga Mbwa.
UKWELI NDIO HUO WATU WANAISHI MAISHA MAGUMU HASA WENGINE WAOMBE WENGINE NDIO UTAPELI WENGINE WANATUMIWA NA ORGANIZED CRIMINALS KUTOKA EASTERN EUROPE. MTO AKIAMUA KUJILIPUA AJUE MAISHA YAKE YEYE NA MUNGU WAKE. HANA HAKI, WANAOMFANYISHA KAZI WANAWEZA KUMFANYA CHOCHOTE WAKITAKACHO THAMANI YAKE KAMA BINADAMU AMEIPOTEZA.KUMBUKENI ULAYA YA MIAKA YA 80 SIO LEO, WAKIMBIZI KUTOKA KILA KONA. WAAFRIKA KIPAUMBELE HAKUNA. KUNA ARAB SPRING, AFGANISTAN, IRAQ, NA NCHI ZA ULAYA MASHARIKI KAMA POLAND N.K
ReplyDeleteKAMA HUNA ANAEKUPENDA WALA KUJALI LABDA LAKINI KAMA UNA NDUGU BONGO NI BORA KUTESEKEA NYUMBANI KULIKO KUNYANYASIKA UGENINI.