Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Projestus RwegarulilaAugust 09, 2012

    Mimi nafikiri kwamba,binadamu walio wengi hawaelewi kwanini wako duniani.Tangu kuzaliwa hadi kufa kwao ni nini sababu kubwa ya safari hii maana kuna watu tangu wamezaliwa mpaka wamekufa wameishi miaka 50'wengine 80,wengine wameishi miaka 10 tu.
    Maoni yangu ni kwamba sababu kubwa ni kujitambua wewe umeumbwa na nani na ujiridhishe namna gani.Kwa matajiri wanakusanya mali yet wanakufa sawa na maskini na wakati mwingine maskini anaishi muda mrefu kuliko tajiri. Kwahiyo tunahitaji kumtambua muumba wetu na kujiridhisha nafsi zetu.Kama unarudi Africa unakuwa unaridhisha nafsi yako.Na kama unakwenda ulaya unakuwa unaridhisha nafsi yako.usimwambie mtu kwamba asiende mwache aridhishe nafsi yake.Cha muhimu tusimsahau muumba wetu

    ReplyDelete
  2. Jiripue, nani kakwambia uende ulaya masikini, njoo UK hapo kazi kibao kitu muhimu ujiripue tu.

    ReplyDelete
  3. Kuna wabongo wanajiita wakimbizi wa Ruanda. Kazi kweli kweli.

    Kama huna elimu sawa na mimi naunga mkono kuwa Ulaya kuna maisha...lakini kama una elimu yako...utaishia kuwa frustrated...maana kazi za manual mtu na elimu yako lazima uishie kuwa depressed, ukizingatia ela yenyewe wanayolipa ni kiasi ya mboga

    ReplyDelete
  4. Wandugu Majuu hasa mlokwama:

    Mfanye utaratibu na uamuzi wa busara kurudi nyumbani.

    Acheni ubishi!!!

    ReplyDelete
  5. mnataka tubaki Bongo tuchomwe moto?

    ReplyDelete
  6. watu wote kimya! si the UK, ND, USA, SPAIN, UGIRIKI n.k

    Toeni ushuhuda wadau wa ughaibuni.

    Mdau
    Tandale Kwa Mfuga Mbwa.

    ReplyDelete
  7. UKWELI NDIO HUO WATU WANAISHI MAISHA MAGUMU HASA WENGINE WAOMBE WENGINE NDIO UTAPELI WENGINE WANATUMIWA NA ORGANIZED CRIMINALS KUTOKA EASTERN EUROPE. MTO AKIAMUA KUJILIPUA AJUE MAISHA YAKE YEYE NA MUNGU WAKE. HANA HAKI, WANAOMFANYISHA KAZI WANAWEZA KUMFANYA CHOCHOTE WAKITAKACHO THAMANI YAKE KAMA BINADAMU AMEIPOTEZA.KUMBUKENI ULAYA YA MIAKA YA 80 SIO LEO, WAKIMBIZI KUTOKA KILA KONA. WAAFRIKA KIPAUMBELE HAKUNA. KUNA ARAB SPRING, AFGANISTAN, IRAQ, NA NCHI ZA ULAYA MASHARIKI KAMA POLAND N.K
    KAMA HUNA ANAEKUPENDA WALA KUJALI LABDA LAKINI KAMA UNA NDUGU BONGO NI BORA KUTESEKEA NYUMBANI KULIKO KUNYANYASIKA UGENINI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...