Home
Unlabelled
Daladala lateketea kwa moto Buguruni jijini dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa ndugu zangu kama dash board haionyeshi chochote hata ukimuuliza dereva wa daladala gari ina mafuta kiasi gani anatoka na fimbo ya kupimia unategemea nini kama kuna shoti yoyote ni moto tu na watu nje ndo wanapiga kelele motooo mtooo ndo na dereva anasimama Tanzania tambarare
ReplyDeleteNaam, vipi huyu kalipa ile elfu 40 ya fire au vp? Kama kalipa hiyo huduma aliyolipia imemsaidia vp? Je waliolipia na watakaolipia baadae ikiwatokoe tatizo kama hili watanufaika vp kutokana na huduma waliyolipia? Mamlaka husika wanajiandaa vp kukabiliana na tatizo kama hili? Kuna fire engine ngapi Dar nzima na zipo kwa interval gani? Zabedayo msema kweli naomba majibu tafadhali,..... bila shaka hapo hiyo gari iliwaka mpaka moto ulipozimika wenyewe.
ReplyDeleteBongo tambarareeeeeeeeee, tupo sana huku kisiwani Ukerewe!
Mdau UK.
Ziungue ili zipunguze msongamano wa magari mabovu barabarani
ReplyDeleteKwa hali hii bora nifie ughaibuni
ReplyDeleteSasa fire stika imesaidia hapo?TRA ninataka jibu!
ReplyDeleteAnon wa kwanza...
ReplyDeleteDashboard haioneshi 'shoti' ya umeme!
Nami nilikuwa nasema hivyo hivyo yaani ah! Dili ya bima tu hiyo! mpaka Nissan spirit 3 door yangu ilipotaka ungua pale TAZARA aka pita fundi yuko pale karakana aka disconnect battery but it had already started to burn.
Chanzo short circuit ya booster la music system.
Sasa watu wanalipishwa pesa kwa ajili ya gari ya zimamoto na sticker n.k. mbona hatuzioni hizo gari hapo??
ReplyDeleteZebedayo hawezi kujibu hii.
ReplyDeleteZebedayo uje utembee Ughaibuni uone wenzetu walivyoendelea.
Ughaibuni hakuna ujinga huu wa kuendesha gari mpaka unakaanga injini.
Weee zebe----zebedayo bahati yako ulikuwa haupo kwenye huo mkweche tungekuzika majivu tu. heee kwani nchi haina watu wa fire gari mpaka vyuma vinayayuka hamna mzimaji. bongo sirudi.wamrudishie elfu 40 zake walimtapeli eti za fire mijizi tu. by salum
ReplyDeleteGari la fire lifuate nini. Tanzania ni nchi ya mwenye kisu ndiyo mla nyama. Lakini ipo siku.
ReplyDeleteHii ndio Bongo bana, pesa za sticker ulaji wa WATU bana! kama veve bisha kuja uliza baada ya mwaka moja hakuna kitu dani ya A/c nasema hakya mama!
ReplyDeleteMnaulizia fire stickers? alfu 40 walizochukua TRA wamepeleka wapi? wamepeleka ngurdoto muda ukifika wanaenda gawana, serikali dhalimu kwenye nchi ya watu dhabit.
ReplyDelete