Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa nimekubali wadau wenzangu mziki wa bongo flava utatupeleka mbali kimataifa..vidio kama hii hata jay..z..au kanye west watawakubali bila ya kipingamizi chochote...hata wanaigeira hawatuwezi kabisa..vijana wetu wana vipaji vya ajabu..angalia swahili inavyo pendeza kwenye kuimba..go go tz

    ReplyDelete
  2. bongo kila kijana anataka kuimba bongo fleva wakati Kenya kila kijana anataka kuchukua gold olympic. kaazi kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...