:MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idris Ahmada Rai (kushoto) akimkabidhi shahada ya uzamivu (PhD)  ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.Rais mstaafu wa awamu ya tano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani mjini Zanzibar kulia mjumbe wa Baraza la Chuo hicho Mohammed Said Dimwa
RAIS Mstaafu wa Zanzibar,Dk.Salmin Amour Juma katikati akizungumza na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) mara baada ya kumkabidhi shahada ya Uzamivu (PhD) ya Heshima ya chuo hicho,kushoto Makamu Mkuu wa SUZA,Prof.Idris Ahmada Rai  na Mjumbe wa Baraza la Chuo Mohammed Said Dimwa,katika makaazi ya Rais huyo Migombani mjini Zanzibar.Pichazote  na Haroub Hussein.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hongera ba mkuyu, mungu akupe afya, furaha na mafanikio, ameen.

    ReplyDelete
  2. Kamandoo Salimuni Amri kumbe bado yupo?? Hongera kwa kula nondozz!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...