Mshindi wa gari wa shindano la Vumbua Hzina chiniya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro akiingia ndani ya gari yake aina ya Ford Figo baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru, hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia, wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Allan Chonjo, meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager sambamba na Wanahabari .

Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru akimkabidhi kadi ya gari mshindi wa gari wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia wakiwemo Wanahabari ndugu jamaa na marafiki.
Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru akimkabidhi funguo ya gari lake mshindi wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia wakiwemo Wanahabari ndugu jamaa na marafiki.
Meneja wa kinywaji cha Serengeti Premium Lager Bwa. Allan Chonjo akifafanua jambo mbele ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali na wadau wengine kutoka sehemu mbalimbali waliofika kulishuhudia tukio la kukabidhiwa kwa gari aina ya Ford Figo kwa mshindi wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo ndani ya bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma.Picha zaidi Bofya Hapa.





ndugu zangu mimi maombi yangu kwa wadhaminiwa michezo hapo nyumbani kufanya udhamini katika mashindano kama ya OLYMPIC na hakika kabisa tutafanikiwa japo medali 1
ReplyDeleteni gari aina gani??? onesha picha
ReplyDeleteHawa wanashinda hizi bahati nasibu mbona ni wachaga tu, nna wasiwasi changa la macho watu kupeana
ReplyDelete