Mshindi wa gari wa shindano la Vumbua Hzina chiniya Kizibo  Bw. Amin Joseph Maro  akiingia ndani ya gari yake aina ya Ford Figo baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru, hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini  Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia, wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Allan Chonjo, meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager sambamba na Wanahabari .
Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru  akimkabidhi kadi ya gari mshindi wa gari wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo  Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini  Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia wakiwemo Wanahabari ndugu jamaa na marafiki.
Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries Bw. Ephraim Mafuru  akimkabidhi funguo ya gari lake mshindi wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo  Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini  Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia wakiwemo Wanahabari ndugu jamaa na marafiki.
Meneja wa kinywaji cha Serengeti Premium Lager Bwa. Allan Chonjo akifafanua jambo mbele ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali na wadau wengine kutoka sehemu mbalimbali waliofika kulishuhudia tukio la kukabidhiwa kwa gari aina ya Ford Figo kwa mshindi wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo  Bw. Amin Joseph Maro kwenye hafla fupi iliyofanyika jioni ya leo ndani ya bustani ya Nyerere Square mjini  Dodoma.Picha zaidi Bofya Hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ndugu zangu mimi maombi yangu kwa wadhaminiwa michezo hapo nyumbani kufanya udhamini katika mashindano kama ya OLYMPIC na hakika kabisa tutafanikiwa japo medali 1

    ReplyDelete
  2. ni gari aina gani??? onesha picha

    ReplyDelete
  3. Hawa wanashinda hizi bahati nasibu mbona ni wachaga tu, nna wasiwasi changa la macho watu kupeana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...