Home
Unlabelled
Kibonzo cha leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Message sent and delivered kwa wahusika. Tatizo hawana masikio wa wala macho
ReplyDeleteyaani nimechekaje mie, nice one.
ReplyDeleteKumbe, mlitaka shopping ikafanyike wapi kama siyo wakati huo wa Olympic!!!Sababu kibaaao kama ilivyo kwa watanzania.
ReplyDeletewow!!!!! nimejaribu sana kucopy ili iweke kwenye frame nimeshidwa>
ReplyDeletehuyu mchoraji amelete medal toka olimpic
mi mwenzenu cna mbavu.Nimecheka hii imetulia kweli.
ReplyDeleteHahahaaa!!! Na 2016 itakuwa hivi hivi. La kuvunda halina ubani.
ReplyDeleteSafi Sana hiyo mifuko imejaa matusi ya watanzania
ReplyDeleteWabongo wamerudi na shopping. Inabidi Watanzania tuanze kubadilisha mitazamo yeto na kuanza kufikiria interms of long term.
ReplyDeleteUkirudi na shopping kutoka Olimpiks utajivunia mwenyewe. Ukirudi na medali, nchi nzima inajivuna.
tanzania walikwenda shopping nubua vi walo na mashati kidogo na kunywa guiness, lakini ilikuwa poa
ReplyDeleteMsicheke msiba huu
ReplyDeleteNimecheka mpaka nimelia hasa baada ya jamaa kusema tena hawana macho wala masikio ..LOL picha pia inajieleza. Mataifa matajiri yote (Super Powers) yamepata medali kibao USA, China, UK na Russia ... Na hii inaonyesha pia Kenya ni Superpower wa East Africa na Tanzania ya mwisho.
ReplyDeleteMdau Canada!
Kinachosikitisha/kuchekesha zaidi ni jinsi mTZ wezu alivyochekelea katoa meno yote 32 nje kuliko hata wenzake Kenya na Uganda waliopata medali,na hivi ndivyo tulivyo sisi waTZ,ukianzia kwa viongozi wetu na watu wote wanashika nafasi muhimu katika jamii.Ujinga wowote wanaoufanya wanachekelea na kuona fahari badala ya soni.Kweli tuko mbali na tunazidi kurudi nyuma sababu tu ya ubinafsi na uchoyo.
ReplyDeleteHongera sana mchoraji wetu kwa picha nyepesi yenye ujumbe mzito sana.hatuna aibu wala hatuogopi kujivunia ujinga,ila tunaona haya kuutambua ukweli.Tutumie njia gani kutika katika ugonjwa huu Tanzania?
Sasa walichoendea huko washindwe na walichokidhamiria pia wakikose jamani?!
ReplyDeleteTatizo letu hatuwahamasishi na kuwatia moyo wanamichezo wetu, tumo kuwaponda tuuu! Kuwalaumu na kuwakatisha tamaa, walipoondoka nchini walikuwa na sifa stahili za kuwashirikisha huko, tunasahu pia na huko kuna kupambanishwa na wengine ili wawe qualified kusonga mbele, wamejitahidi lakini hawakufikia kiwango kinachotakiwa, cha msingi ni kuangalia wapi walipojikwaa ili tusahihishe na kuondoa kizingiti hicho, sio kuangalia tu walipokwenda kuangukia na kutowa lawama zisizo na maana wala faida yeyote.
Hongereni sana wana michezo wetu, japo hamkuifikia hatua tuliyokuwa tukidhania na kuisubiri kwa hamu, lakini at least mmewakilisha nchi yetu, next time mtajaribu tena, pole pole ndio mwendo. Alau mmejifanyia shopping na kuliona jiji la London, ingawa hayakuwa matarajio yetu makuu.
Du! huyu mchoraji apewe medali manake kaipatia kweli.
ReplyDeleteAnony uliyetaka ku-copy hiyo picha, jaribu ushauri ufuatao: -
ReplyDeleteKwenye keyboard yako juu mkono wa kulia kuna key imeandikwa PRINT SCREEN, ibonyeze mara moja. Ukimaliza Nenda chini kwenye START, bonyeza pale, kisha tafuta neno ACCESSORIES baada ya hapo utaona neno PAINT, bonyeza. Kuna box itatokea imeandikwa UNTITLED PAINT, RIGHT CLICK halafu PASTE. Itatokea hiyo picha iliyokuwa kwenye screen na uliyotaka kui-copy. Baada ya hapo kuna ki-box mkono wa kushoto ukihighlight kimeandikwa SELECT, kibonyeze hicho, chagua sehemu uliyotaka kui-copy halafu i-CUT na kui-PASTE kwenye blank document ya MS WORD. Utakuwa umeipata hiyo picha bila matatizo.
Jaribu mara mbili/tatu kwa kufuata maelekezo haya unaweza kufanikiwa.
Blog imezuia copy and paste,huyo hapo katoa maelezo jinsi ya kuchota hiyo picha,blog ile ile tena imerusha hiyo comment.Does not make any sense to me,hiyo comment haikutakiwa kuwepo kama michuziblog haitaki habari zake/Picha viwe copied.Ni ushauri tu
ReplyDeleteMchoraji hawezi kupata Medali ya uchoraji,amechora sura(pua) za wazungu wakati sisi ni waafrika.
Wanamichezo wetu, maandalizi ni kufanywa kila siku .. lakini wa kwetu wanasubiria miezi 4 kabla ya mashindano ndo unaanza kufanya mazoezi na wakati wenzetu ndo kama routine ya kila siku amkapo na pale anapoenda kulala. wanamichezo wetu mkirudi nyumbani ni bia na starehe kwenda mbele.
ReplyDeletemtu mwenyewe ndo anajitengenezea sifa na baada ya hapo nchi lazima itasifika. tunalalamika viongozi viongozi ... lakini ni bidii ya mtu. wewe kama unataka umaarufu tafuta njia ya kuweza kuupata huo umaarufu. Tusisubiri mpaka miezi ya mwisho ndo kuanza maandalizi.