WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS ASIYE NA WIZARA MAALUM ,PROF.MARK JAMES MWANDOSYA AKITOKA NJE YA BUNGE NA KUWA NA MAZUNGUMZO NA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE (CCM) KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO.
MWANAHARAKATI MAMA TERRY GBEMUDU AKIWA NA MAZUNGUMZO NA MAWAZIRI, WA KWANZA KUSHOTO NI WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. LAZARO SAMUEL NYALANDU KATIKATI BUNGENI MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA, KUSHOTO NI FARAJA KOTA  NYALANDU) NA NANCY SUMARI WALIPOPATA NAFASI YA KUTEMBELEA BUNGE MJINI DODDMA LEO
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA LA MARIAN GIRLS WAKISIKILIZA KWA MAKINI WAKATI WA MAJADILIANO YA BUNNGE WALIPOPATA NAFASI YA KUINGIA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO VYO HABARI WAKIRIPOTI HABARI ZA BUNGE MJINI DODOMA.
MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM MARA) MHE. ESTER BULAYA WATATU KUSHOTO AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA, WA KWANZA KUSHOTO NI FARAJA KOTA-NYALANDU), WA PILI NI NANCY SUMARI PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA BUNGE KULIA, NJE YA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODDMA LEO.PICHA ZOTE NA ANNA ITENDA – MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. huyu Mheshimiwa Ester naona anafanana fanana na Lulu, yule binti mtuhumiwa wa kesi ya mauaji (Kanumba),

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...