Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa akipongenzwa nje ya bunge baada ya kupita bajeti ya wizara Fedha na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw.William Erio (Kushoto) Pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Bw.Sabasaba Moshingi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw.William Erio akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Sued Kagasheki (Kulia) katikati ni Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Selukamba nje ya Ukumbi wa Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...