Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya,Ngoma Africa Band Siku ya Jumamosi 11.8 .2012 walishambuli jukwaa na la International Africa Festival 2012,Tubingen,Ujerumani,na kuhakikishia washabiki kuwa FFU ni tishio la kimataifa !

Kiongozi wa bendi Ras Makunja alikabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya "International Diaspora Award" kwa niaba ya bendi hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hiii! Kikimanda ketu na kikosi cha watoto wa mbwa aka ffu,aka wazee wa virungu mwe mwe mwe mwe mwe
    mjege na Tukuyu

    ReplyDelete
  2. hiii! Kikimanda ketu na kikosi cha watoto wa mbwa aka ffu,aka wazee wa virungu mwe mwe mwe mwe mwe
    mjege na Tukuyu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...