Foleni ya maelfu ya wananchi wa Ghana wakimiminika kwa siku ya pili mfululizo kwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills katika Ikulu jijini Accra leo jioni. Mazishi ya kiongozi huyo yanatarajiwa kufanyika kesho na kuhudhuriwa na marais takriban 16 wa Afrika
Foleni haiishi
Mchana kutwa foleni haiishi






Ila kiongozi hiyo Camera unayotumia si mchezo.Picha nzuri sana,offcourse na upigaji unachangia picha kuwa nzuri.
ReplyDelete***.Jumapili si vibaya ukatuletea somo la kupiga picha ukiwa ndani ya ndege...yaani unapataje sehemu kubwa ya nje na hivyo vidirisha vidogo vya ndege visivyofunguka.Kila nikijaribu,picha inakuja na kidirisha au wewe dirisha lako linafunguka.?Kila la kheri Ankal
David V