Foleni ya maelfu ya wananchi wa Ghana wakimiminika kwa siku ya pili mfululizo kwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills katika Ikulu jijini Accra leo jioni. Mazishi ya kiongozi huyo yanatarajiwa kufanyika kesho na kuhudhuriwa na marais takriban 16 wa Afrika
 Foleni haiishi
 Mchana kutwa foleni haiishi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ila kiongozi hiyo Camera unayotumia si mchezo.Picha nzuri sana,offcourse na upigaji unachangia picha kuwa nzuri.

    ***.Jumapili si vibaya ukatuletea somo la kupiga picha ukiwa ndani ya ndege...yaani unapataje sehemu kubwa ya nje na hivyo vidirisha vidogo vya ndege visivyofunguka.Kila nikijaribu,picha inakuja na kidirisha au wewe dirisha lako linafunguka.?Kila la kheri Ankal

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...