Mabondia Maneno Oswald "Mtambo wa Gongo" (kushoto) na Rashidi Matumla "Snake Boy" wakitunishiana misuli wakati wa kutangaza mpambano wao utakaofanyika siku ya iddi pili katika ukumbi wa Dar live jijini Dar es Salaam.
Promota wa mchezo wa masumbwi,Kaike Siraju katikati akiwainua mikono juu mabondia Maneno Oswald kushoto na Rashidi Matumla wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika siku ya iddi pili katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Njaa mbaya jamani.

    ReplyDelete
  2. Mike tyson alisema kwamba "Im not going to bring the boxing industry to the disrepute , Im hanging off my gloves"
    So you guys need to let it go and find a day time job somewhere.In my opinion you just undermining Boxing game and you look like familiar jokers to the fans.
    Umri hauwaruhusu jamani....khaaaah!!

    ReplyDelete
  3. hawa wazee na nane nane zao usoni bado wanapigana tu, si watauwana ulingoni?

    ReplyDelete
  4. Mwisho mtakufia ulingoni mshazeeka

    ReplyDelete
  5. Msitake kula ela za watu kirahisirahisi,mlishapitwa na wakati.Tunasubiri burudani toka kwa kizazi kipya cha mabondia.

    ReplyDelete
  6. Jamani wale wapi na wanajua boxing tu? Wape wapigane tu, akifa mtu basi ni mambo ya mola.

    ReplyDelete
  7. MABONDIA WANYWA ULANZI DENGEREUA CHIBUKU ANAMALIZIA NA MATAPUTAPU.

    PROMOTA MNYWA GONGO MPAKA NZWII KULE KEKO JUU THEN ANAIBUKA KWENYE KUSUKUTUA NA CHUPA MOJA YA BIA.
    MKAO WA KULA HUO.

    WE MATUMLA SASA HIVI ULITAKIWA UWE NA KAMBI YAKO YA KUFUNZA MABONDIA CHIPUKIZI MASUMWBWI. AU UNGEKUWA HATA KWENYE TIMU YA TAIFA KUWAONYESHA JINSI ULIVYOKUWA UKITAMBA KWENYE OLYMPICS AU NGUMI ZA UBINGWA DUNIA. YOU ARE NATIONAL TREASURE IF YOU DON'T KNOW MAN. GROW UP ...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...