Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwakabidhi watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari, msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni mtoto wa mbunge huyo,Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi.
Home
Unlabelled
MBUNGE MTEMVU AGAWA MSAADA WA VYAKULA VYA SH. MIL 7.8 KWA VITUO 10 VYA YATIMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Kaka yangu Mungu azidi kukupa Moyo wa Imani,umefanya kitu kizuri sana.
ReplyDelete