Aliyekua Balozi wa Tanzania nchini Italia,Balozi Costa Mahalu ambaye alikua mshitakiwa namba moja kwenye kesi ya matumizi mabaya ya fedha za ununuzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Italia, pamoja na mshitakiwa namba mbili Grace Martin (kushoto) wakiwa wamezungukwa na Waandishi wa Habari muda mfupi baada ya kusomewa kesi yao ambayo wameshinda leo na kuonekana hawana hatia yeyote kutoka na kukosekana kwa ushahidi uliokamilika.
Balozi Costa Mahalu akiendelea kutoa shukrani kwa Waandishi wa Habari baada ya kushinda kwa kesi yake iliyokuwa ikimkabili.
Balozi Costa Mahalu akiwasiliana na ndugu na jamaa kwa furaha baada ya kuonekana hana hatia yeyote na kuachiwa huru kuanzia sasa.
Balozi Costa Mahalu (pili kulia) akiwa na Wakili wake,Mabere Marando (kushoto) wakipongezwa na wadau.
Balozi Costa Mahalu akukumbatiana na ndugu zake.
HAleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletesasa unda chama chako kwa sababu ccm si ndo waliokupakazia lakin wote si ndo mnajuana
ReplyDeletejiunge na chadema wapinzani kwa sababu hawampendi kikwete
ReplyDeleteAt long long last,God has ultimately done justice after a tormenting and unjustied trial!Mungu akubariki Prof.Costa Mahalu!Hayo ndiyo maisha.Kikulacho daima ki nguoni mwako!Nimeisoma Zaburi 17 ulioagiza,Ubarikiwe,na Mungu atakulipa kwa mateso uliopata!for some of us who know your intergrity very closely.To err is human,but that should not warrant indiscriminate victimisation! Forget the miserable past,start a new page in life!shukrani kwa wote waliosaidia kwa njia ya maombi na sala!
ReplyDeleteLet us not be carried here. Being taken to court is not persecution. It is the only way one can be cleared of suspicion when there is some. Kwa hiyo ilikuwa halali kabisa Mahalu kupelekwa mahakamani kwa vile kulikuwa na wasiwasi kuwa alitenda kosa. Mahakama imeondoa wasi wasi huo. Asingeshtakiwa siku zote tungeishi hatujui alikula/hakula? Kama ilivyo kwa Chenge et al. Kwa hio wale mnaotaka kupenyeza fikra kwamba Prof. Mahalu kaonewa kupelekwa mahakamani tafadhali msiwapotoshe waTanzania
ReplyDeletechapa ng'ombe
ReplyDeletekwa hiyo anayo haki ya kuomba arudishwe kwenye nafasi yake kwa kuwa hana hatia
ReplyDeleteVifungo ni kwa ajili ya sisi akina Maganga na kesi za wizi wa bata lakini wavutaji wa mikwanja mirefu wanashinda kesi!
ReplyDelete