Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Wananchi Mufindi (MuCoBa) ndugu Attilio Mohele, anayo furaha kukualika kwenye mkutano unaohusu
 “Kuimarisha uchumi wa wilaya ya Mufindi na maeneo jirani kupitia MuCoBa ikiwa ni pamoja na uwekezejai kwa kununua hisa”

utakaofanyika siku ya:
 Jumapili tarehe 02 Septemba 2012,
katika ukumbi wa Holland, Msimbazi Center,
saa 9:30 jioni

Wote mnakaribishwa!

Kwa mawasiliano zaidi:
§  Attilio Mohele, Mwenyekiti wa Bodi, MuCoBa -  0754 558824
§  Danny Mpogole, Meneja Mkuu, MuCoBa -  0753 368343
§  Ben Mahenge, Meneja wa Fedha, MuCoBa -  0754 484234
§  Deogratius Modaha, Meneja wa Mikopo, MuCoBa –  0752 244662
Benki ya Wananchi Mufindi (Mufindi Community Bank - MuCoBa)

TAKWIMU ZA MAENDELEO YA BENKI MWAKA 2008 HADI 2011
Na.
Maelezo
2008
2009
2010
2011
1
Idadi ya wawekaji wa Akiba/Number of Savers/Depositors
14,500
15,995
19,100
23,500
2
Jumla ya Akiba za wateja /Total value of Deposits/Savings (Mil. Tshs)
2,960
3,656
4,963
6,000
3
Idadi ya Wakopaji/Number of existing Borrowers
5,215
3,168
3,912
4,500
4
Thamani ya Mikopo iliyotolewa/Value of Disbursed Loans (Mil. Tshs)
2,619
3,985
5,856
7,445
5
Thamani ya Mikopo iliyopo/Value of Outstanding Loans (Mil. Tshs)
2,510
2,643
3,906
4,900
6
Jumla ya Rasilimali za benki / Total Assets (Mil. Tshs)
4,296
4,844
6,771
7,708
7
Faida Kabla ya Kodi/Profit Before Tax (Mil. Tshs)
187
174
178
228
8
Mtaji uliolipiwa na Wanahisa /Paid Up Share Capital (Mil. Tshs)
201
284
367
443
9
Jumla ya Mtaji /Total Capital (Mil. Tshs
655
778
888
954
10
Jumla ya Gawio lililolipwa/Total Dividend paid (Mil. Tshs)
22
28
40
44
11
Sehemu ya Gawio kwa Hisa/Dividend Per Share*
40
55
55
50
               
NB: Bei ya Hisa moja ni TShs. 500/-



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...