MGOMBEA Uwakilishi katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Bububu kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Bi. Zuhura Bakar Mohammed (kushoto) akirejesha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, bW. Ali Rashid Suluhu baada ya kukamilisha taratibu za kuzijaza huko katika ofisi za tume hiyo zilizopo Maisara mjini Zanzibar.
Picha na mdau Haroub Hussein.
Picha na mdau Haroub Hussein.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...