Salam,
Urban Pulse na Freddy Macha wakiongea na watu mbalimbali jijini London kudadisi kwanini Tanzania haikufanya vizuri katika michezo ya Olimpiki London 2012. Baadhi yao ni Kocha wa Masumbwi Tanzania Remmy Ngabo na Kocha wa kuogelea Sheha Mohammed Ali.
Asanteni,
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Freddy Macha


Asante Fred Macha kwa clip na maoni ya wadau..ni kweli maandalizi ya timu yetu ni changamoto tosha hasa kwa wanasiasa wetu ambao kwa muda mrefu hawana ari ya michezo kabisa. Ni kitu cha kujifunza kutoka kwa jirani zetu Kenya kabla ya kufikiria nchi nyingine.
ReplyDeleteFreddy,
ReplyDeleteGood job on the presentation. Very informative, very good audio and on point. Now you should conquer the big issues affecting our society in London or in Tanzania. Yes our athletes have no facilities, but what is important to note is that most of our efforts have been directed towards soccer and we have neglected other sports. A tragic mistake because like in the past we are more likely to succeed in events such as running and boxing than in soccer. Also efforts to involve private donors such as local companies not only he government should be encouraged.
Slow hand clap...Well put
ReplyDeletekuna kitongoji cha Olgadai mchepuko toka hoteli ya Mount Meru jijini Arusha kipo juu sana toka usawa wa bahari (altitude from sea level). wanariadha wafanye mazoezi ktk kitingiji hicho huko Arusha badala ya kufanya mazoezi jijini Dar kwa matayarisho ya Olimpiki huko Rio , Brazil.
ReplyDeletemakocha wenyewe ukiwasikiliza hawana motisha nzuri kwa taifa letu hakuna haja ya kupeana moyo mahandalizi mabovu ndio yana sababisha kila cku kua wa mwisho ktk michezo kwnn kila cku tuwe ss wa tanzania tu kwnn tusiige mifano ya wenzetu kenya ethiopia nn kina tushinda ss wkt tuna kila ki2
ReplyDelete