Baadhi ya wafanyakazi wa Radio5 ya jijini Arusha wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kombe lao la Ushindi mara baada ya kukabidhiwa katika kilele cha maonyesho ya Nane Nane jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa hao jamaa kwa ushindi walio upata kama chombo cha habari NDIO, Ila kwenye BANGO lao hapo wameona walivyo andika hiyo WORLD hapo?

    Naomba warekebishe jamani!

    ReplyDelete
  2. Watanzani hatuko makini katika mambo mengi kazi mzaha tu. Ndiyo maana hata kwenye michezo ya Olympic mwaka huu tumetoka na aibu tupu tujiulize kulikoni?

    ReplyDelete
  3. wewe mama unafunga macho inamaana ni mara ya kwanza kupiga picha au?

    ReplyDelete
  4. Bongo balaa kiswanglish "WOLRD" hii ni nini?
    Na nyie mnauza mazao gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...