Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wakuu wa serikali pamoja na wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.





WOW!! Hii ni semina elekezi nyingine.
ReplyDeleteTanzania unatupa moyo.Pongezi kubwa kwa Rais Kikwete, timu yake, Mawaziri,washiriki pamoja na Serikali ya Malaysia. Songa mbele Tanzania.
ReplyDeletekila kukicha kuomba na wawekezaji lini tutapanga mikakati ya maendeleo yetu wenyewe? TANZANIA itajengwa na WATANZANIA,
ReplyDeletetunahitaji wawekezaji kwenye
1) UMEME
2) USAFIRI (Barabara,Reli, Majini na Angani
3)MAJI
Wawekazaji wa madini au rasilimali hatuwataki kabisa kwani ni mafisadi hata wao
basi tujifunze vyema siri ya mafanikio yao, isiwe another workposhos, joesheffu, dar
ReplyDelete