Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
  Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika  warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wakuu wa serikali pamoja na wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. WOW!! Hii ni semina elekezi nyingine.

    ReplyDelete
  2. Tanzania unatupa moyo.Pongezi kubwa kwa Rais Kikwete, timu yake, Mawaziri,washiriki pamoja na Serikali ya Malaysia. Songa mbele Tanzania.

    ReplyDelete
  3. kila kukicha kuomba na wawekezaji lini tutapanga mikakati ya maendeleo yetu wenyewe? TANZANIA itajengwa na WATANZANIA,
    tunahitaji wawekezaji kwenye
    1) UMEME
    2) USAFIRI (Barabara,Reli, Majini na Angani
    3)MAJI
    Wawekazaji wa madini au rasilimali hatuwataki kabisa kwani ni mafisadi hata wao

    ReplyDelete
  4. basi tujifunze vyema siri ya mafanikio yao, isiwe another workposhos, joesheffu, dar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...