Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Ghana Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra leo.
Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo.
Jukwaa kuu katika uwanja wa Independende Square wakati wa Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwa kuvaa tu Rais wetu unatuwakilisha hasa. Napenda swag zako

    ReplyDelete
  2. najua maoni haya utayabandika, lakini rais awe na haya basi!! kila siku kusafiri ? mbona kenya wamemtuma makamo wa raisi? hivi hata yeye ameshindwa kumtuma Pinda? kweli anaishi kwenye ndege, tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele. aibu yako!!! JK

    ReplyDelete
  3. Ww unaesema aibu yako jk..ww ni mwehu kabisa tena itakua chadema..kumbuka urafiki wa kwame mkuruma na nyerere huwezi fananisha na maraisi wa kenya...kwa hiyo usishangaee makenya kupeleka waziri mkuu..na gana kamwe hawatoshangaa coz hawana urafiki kabisa na makenya yako.kubwa zima oovyoooo.

    ReplyDelete
  4. Hapo umenena kwakweli rais wetu ni mtu wa watu ndiyo maana misiba anahudhuria kufariji wafiwa. Mwenyezi Mungu azidi kumbariki na wale wenye mawazo potofu Mola awapatie hekima na busara. Hoyo ndiyo hekima aliyopewa Rais wetu tuwr watu wakupenda wenzetu hada wanapopatwa na matatizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...