Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe.Hussein Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama, kabla ya uteuzi wake,Mhe. Kattanga alikuwa Katibu Mkuu TAMISEMI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha, Mhe. Ignas Paul Kitusi kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, kabla ya uteuzi wake Mhe. Kitusi alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Panterine Kente kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wapya wa Mahakama ya Tanzania, mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Ombeni Sefue, Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Mhe. Ignas Paul Kitusi, Msajili Mkuu wa Mahakama na Mhe. Panterine Kente, Msajili wa Makahama ya Rufani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani hata mwanamke mmoja hakuna?? What a pity! Kweli hapo usawa wa kijinsia inkuwaje?? Naona bado tuko mbali sana kufikia goli la milenia 3 (MDG3)kuhusu " Gender Equality and Empowerment." Samahani nimeshindwa kutafsiri hapo naona kiswahili kigumu jamani :-)

    ReplyDelete
  2. hongera kaka hussein tunatarajia mabadiliko katika mahakama zetu tunaujua utendaji wako keep it up bro

    ReplyDelete
  3. Yaani Rais aokote tu simply Gender Equality and Empowerment?....hayupo mwanamke wa kazi hizo walizo apa...! Not everthing na kila wakati kuwe na wanawake etie...! Msikariri..eh.

    Ulimwona yule hakimu mwanamke aliyemnyanganya na kumtenganisha yule dada na mtoto wake mchanga?!...Ndiyo wanawake katika nafasi zao sasa hiyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...