Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipokewa na meneja wa benki ya NMB kanda ya kaskazini,Vicky Bishubo alipokuwa akitembelea banda la NMB katika maonyesho ya wakulima nane nane yaliyofanyika katika viwanja vya Taso,Themi jijini Arusha jana.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa benki ya NMB katika maonyesho hayo wakati wakimkaribisha kwenye banda lao.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisikiliza kwa makini wakati meneja wa benki hiyo kanda ya kaskazini,Vicky Bishubo akitoa taarifa ya benki hiyo katika banda la NMB.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikabidhiwa zawadi kutoka benki ya NMB baada ya kulitembelea banda hilo.
Meneja wa benki ya NMB kanda ya kaskazini,Vicky Bishubo akikabidhiwa zawadi ya kombe kwa niaba ya Benki ya NMB na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda aliyekuwa mgeni rasmu wakati wa kufunga maonyesho hayo.benki hiyo iliibuka mshindi wa kwanza kwa taasisi za fedha.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya MNB wakiwa kwenye bicha ya pamoja wakifurahia kombe, baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwenye taasisi za fedha.picha na Joseph Ngilisho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...