Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Uongozi wa Wzara ya Kilimo na Maliasili,baada ya kuzindua rasmi  mashine za Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) katika hafla iliyofanyika leo huko shamba la Kilimo la Serikali,  Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa sita kushoto)akiangalia  Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kufanya  uzinduzi wa Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati  Mkoa waKusini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Ukitoka katika mashine ya  Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kuzindua mashine  hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Uliovunwa kwa kutumia  mashine ya  Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kuzindua mashine  hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,  akizungumza na wananchi na wakulima wa Mpunga wa Maeneo mbali mbali baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa mashine za Kuvunia Mpunga (Combine Harvester) huko Shamba la  Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga,(katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Othman Affan Maalim, baada ya kumalizika hafla ya kuzindua mashine za (Combine Harvester) leo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Sina uzoefu sana na mambo yalivyo kwa upande wa Zanzibar,ila kwa Tanzania ni kwamba uzinduzi hufanyika kwa mbwembwe kama hivi kisha baada ya miezi sita utaikuta mashine imetelekezwa mahali,panya wanazaliana humo,ukiuliza unaambiwa vipuri vyake havipatikani!

    ReplyDelete
  2. Huyu Shein kwa nini asigombee bara, naona ni mtu anayebadilihsa mambo kweli

    ReplyDelete
  3. Hizo fitna tu mkikua mtaacha.

    ReplyDelete
  4. choyo tu , maana yake nini agombee bara? Si munao mafisadi wa kila aina Bungeni chagueni mmoja aongoze...!

    ReplyDelete
  5. Che GuevaroAugust 07, 2012

    Sasa hawa wavivu wataifanyia nini? badala ya kuileta bara wanaipeleka Visiwani? wavibu sana watu wa kale! hawalimagi wao UROJO tu na maneno mengi katika vijiwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...