Home
Unlabelled
CAR FOR SALE (JUST ARRIVED IN DAR)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
0753 047 577Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Unachukua cash
ReplyDeleteMdau Anonymous wa kwanza wa Tue Aug 07, 07:22:00 PM 2012
ReplyDelete.....Unachukua cash
Hicho ndio kiama tulichonacho Watanzania cha kugharimia kila kitu kwa fedha taslimu (cash).
Kama unavyoona 'Tofali nne na nusu' yaani mabunda 4 ya 10 Mil. na nusu (Milioni 45 ) kwa manunuzi ya gari.
Yaani hatuna Credit facility kuweza kununua kitu kwa dhamana na malipo yakafanyika kwa awamu na kutufanya kujitoa muhanga kwa mahitaji mengine ya pesa kama ni ya ngama endapo mtu unaamua kununua kitu kama gari!
Bongo tumeyazowea!
Cash money ndio mtindo was kisasa has kwenye hii recession.
ReplyDelete