Mwanasheria wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi (kulia) akizungumza na wateja wake jijini Dar es salaam Katika moja ya mikutano na wakazi hao kuhusu maendeleo ya kesi yao iliyoko mahakama kuu ya Tanzania na kwa mujibu wa kesy namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapichwa na mtendaji mkuu wa wakara wa usafiri wa haraka 'DART' kwa wahanga wakapokee fidia zao linakiuka amri ya Mahakama Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012 hivyo mnashauliwa kuto tii agizo hilo pia wahanga wa bomoa bomoa wanaalifiwa kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili huyo tarehe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao.
Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Asante South Law Chambers Advocates na Mwanasheria Dr. Mvungi. Ukisoma habari kutoka nyumbani utafikiri kwamba hakuna wanasheria wano jali haki za binadamu. Mahakama hawezi kutoa sharia na kwapa fidia ya uharibifu na uvunjifu ya haki za kibnadamu. Kila kheri wakazi wa gerezani kwenye kesi yenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...