Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Hapo ulipoonyesha ni sawa na kuonyesha pua na kusema huyu jamaa ni handsome. Picha iyo ni ya Dar ya mkoloni. Weka picha ya Dar anayoishi watanzania wengi-maeneo ya mbagala, vingunguti na kimara kuelekea mbezi.Then uulize the same question

    ReplyDelete
  2. No more comment

    ReplyDelete
  3. Duu nilidhani mtu kwamwaga mabehewa ya treni. Lakini bongo bado tambarare.

    ReplyDelete
  4. Mbona naona vibanda tu, imekuwa kama mji wa Timbuktu huko Mali. Hizo ni barabara au njia za miguu? Bado sana tuna safari ndefu.

    ReplyDelete
  5. wewe mdau wa nne ni bonge la mshamba ushafika Timbuktu au unasema tu? Tuulize sisi tulioishi miaka mitatu huko.Of course mji wetu wa Dar siyo kama Newyork ila huwezi hata kidogo kuulinganisha na Timbuktu,wacha ufala na kuponda kupita kiasi.Jaribu uwe na hoja ya kimsingi kama aliyoitoa mdau wa kwanza ambayo ina ukweli mkubwa,(ya kuonesha pua na kudai jamaa ni handsome.....)

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli halijapangika hata kidogo. Angalia vibarabara vinavyotenga nyumba za mtaa mmoja na mwingine jinsi vilivyo vyembamba. Nilishasema huyo mkoloni wa kwanza kupangilia huu mji ndiye aliyeharibu.

    Kwa kweli kuanzia sasa tubuni miji yenye hadhi si lazima tufuate actecture hiyo.

    ReplyDelete
  7. Mie Yangu macho ndio mnajisifu maisha mazuri bongo mbona mnadanganya toto, tembeeni muone mlivyoachwa nyuma

    ReplyDelete
  8. Baelezee kuwa hapo ni city centre na tunahaja ya kujivunia mpango-mji wa katikati ya jiji letu la Bandari Salama a.k.a Dar-es-Salaam.

    Hapo Dar-es-Salaam city centre inafanana na Rio ya Brazil for 2016 Olympic Games

    Mdau
    Rio Copa Cabana Beach

    ReplyDelete
  9. Jamani mbona imesongamana namna hiyo?? Hakuna mpangilio.

    ReplyDelete
  10. wote hapo juu ni watu waliokimbilia UK,na si rahisi kusema vizuri huko walikotoka,sijui ndiyo hiyo dola 10 waliyochajiwa air port !!!! Ankal niambie siku gani utasafiri kwenda UK,naomba tuwarudishie dola 10 ,10 zao ,angalau yaishe . Jiji letu sasa linafanana na New york-lakini bado mnaponda tu. Mimi sina hasira ,lakini haki ya nani leo ningetukana .Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  11. Siku ukishuka DOHA piga picha utuwekee hapa ndo utajua miji iliyopangika.

    ReplyDelete
  12. wapanga miji ni lazima kuchukua hatua sasa,jinsi wanavyochelewa ndo gharama ya urban renew inavyokuwa kubwa.
    itafika point of no return,ikifika hapo kwa kawaida afrika maamuzi ni kuamisha makao makuu ya nchi .....walifanya hivyo malawi,nigeria bila shaka sisi tunafuatasasa maana maeneo mengiyanatisha.

    ReplyDelete
  13. Safi sana. Sasa tuwekee picha zilizopigwa angani za sehemu kama Manzese, Sinza, Tabata, Buguruni, Kimara, Mabibo, Tegeta...

    ReplyDelete
  14. Dar jiji zuri tu ila kuna huu uzuzu wa kuona kila chetu kibaya. Lile jengo la water front unaliona? alijenga mkoloni wako hilo? Mipango miji ni fani, je jicho la fani unalo au mnajisemea tu kwa vile domo halina VAT.

    ReplyDelete
  15. Duuuh! hivyo vimitaa utafikiri vya kupitishia panya. Mliofanikiwa kwenda miji ya watu semeni wenyewe. Huu ni uchafuzi wa mazingira na sio mpangilio wa mji.

    ReplyDelete
  16. Hapo ni juu inaonekana Dar ni kama Paradiso!

    Balaa shuka nchini hasa maeneo ya Kariakoo utakabiliana na mitaro iliyoziba , marundo ya uchafu na majitaka kila kona!!!

    ReplyDelete
  17. Taswira ya Dar kwa kuonyesha Reception /au Sitting room pekee:

    Hii ni kama ile picha aliyotuma Dr. Love 'Pimbi' wa kwenye Magazeti ya Sani alimtumia demu akiwa kkt picha ya pasipoti size.

    Demu akaona ktk picha kuwa jamaa ni bonge la handsome boy, kumbe jamaa ni bonge la jeba ,mfupiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...