Ankal habari za leo, 
Nimeingia kwenye restaurant nikajikuta nakalia hivi viti. Ama kweli biashara ubunifu. Wadau hii imekaaje??
Mdau wa Abutaar, 
Inner Mongolia 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. for me i think i will feel like I am in a Lou i will feel like I am having my food in bathroom or Lou , the design is good but i think doesn't fit in food placec

    ReplyDelete
  2. Wewe nae ulikosea mlango. Hujazoea vyoo vizuri nini, yaani unaita choo restaurant?

    ReplyDelete
  3. huko mongolia unafanya nini? mwe!

    ReplyDelete
  4. Huo ni Ubunifu na Ujasiriamali hasa!Huhitaji kwenda window shopping kwa masuala haya. inawakumbusha na wale wanaotumia mtungi huu, kubadili na kuchukua design mpya ya starehe na kupendeza.

    ReplyDelete


  5. Anonymous hapo juu pole sana kwani bado hujaelewa kwamba hiyo ni restaurant na hvyo ndo viti vya kukalia sio kwamba wanauza vyoo we angalia vizuri kuna muhudumu kabisaa au macho yako yakoje

    ReplyDelete
  6. Kwa hiyo menu ilikuwaje?
    Kuna supu ya "used teenager pad"
    Au entree ya chicken a la tissue ???
    Kwi kwi kwi ........

    ReplyDelete
  7. huo ubunifu, au uabunuwasi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...