Bosi na Mtangazaji wa Radio Times 100.5 Scholastica Mazula akizungumza na waandishi wa habari kwenye magahawa wa City Sports Lounge Posta jijini Dar es salaam wakato alipomtambulisha rasmi Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio hiyo. Hivi karibuni atakuja na kipindi kipya kinachokewanda kwa jina la “Maskani” kitakachozungumzia mambo mbalimbali katika jamii, katika picha kushoto ni Gadner G. Habash mwenyewe na kulia ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Cliford Ndimbo.
 
Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio na kutangazia umma rasmi akizungumza na wanahabari pamoja na watangazaji wenzake, wanaofuatia katika picha ni Scholastica Mazula, Criford Ndimbo na Dida wa Mchops.
Baadhi ya watayarishaji wa vipindi na watangazaji katika redio hiyo watatu kutoka kulia ni mkoloni aliyewahi kuvuma na kundi la Wagosi wa Kaya.
Kapten Gadner Habash kushoto akipozi kwa picha wa mastafu wenzake wapya kutoka kulia ni Dida wa Mchops, Natasha na Scholastica Mazula.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mie ndo maana siku hizi navaa nguo pana za kumwaga

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu umnifanya nicheke baada ya kukupata

    ReplyDelete
  3. hee naonmba nikatie kilo mbili basi bro h ah haha

    ReplyDelete
  4. Kwii! Kwii! Kwii! Kwii!

    ReplyDelete
  5. Na mie nimechekaje kwa nguvu!! Nakuunga mkono na miguu

    ReplyDelete
  6. Haswaaa! Nilikuwa nalo hilo hilo,la kumwaga kumfunda kama atafundika. Umenisaidia tena kwa lugha ya uungwana. Ilikuwa nitoe kavu. Pamoja na hiloo. Tuende kwa Tailor. Kutungua Noma!

    ReplyDelete
  7. Hahahaaaa..... Inanikumbusha ila sanamu ya Michelin!!!

    ReplyDelete
  8. Mikorogo wadada itawauwa weupe ka makaratasi lol

    ReplyDelete
  9. NIWAPE SIRI KINA DADA VAZI LA KUFICHA SHEPU ZA UNENE PIGA SUTI. MIMI NIMEPATA MTOTO JUZI JUZI TU TUMBO NDIO VILE TENA. NAINGIA NDANI YA SUTI KOTI REFU KIDOGO WATU WANAULIZA ARE YOU SURE YOU HAD A BABY? SIRI NDANI YA SUTI, TENA UKIPATA YA KITENGE NA JOTO HILO LA DAR MAMBO FASHENI. HAYA MAMBO YA TIGHTS TUWAACHIE WENYE VITUMBO VIDOGOO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...