Tomorrow, the music video of Beyonce dedicated to WHD with her song, I was here , will be shot along with a live projection mapping event in the UN General Assembly Hall.
The World Humanitarian Day is marked every year on 19th August 2012.
2012 Theme: "I Was Here".


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa



  1. I hate the fact that in every humanitarian campaigns lazima ukute picha ya Black African hivi ni kwanini?? wakati huku Mongolia kuna watu wanashida na masikini kuliko africa sio hvyo tuu nimewahi kiushi Malaysia na kwenye nyewe ni hvyo pia kuna watu wanashida na njaa kubwa saaana hata south America ukienda chile ndo usisema.... I really hate the fact kwamba wana misuse umasikini wetu.. P+++++u

    ReplyDelete
  2. Dunia ina watu wa rangi zote, pia matatizo na ukosefu vipo kwa watu wa rangi zote na jamii zote.

    1.Je kule kwenye vita Syria watoto wanaoteseka ni wa ngozi ya rangi nyeusi?

    2.Je kule Ugiriki kwenye msala wa Kifedha na Kiuchumi watoto wanaoteseka ni wa kiafrika?

    Ni wakati haya mashirikisho na harakati za Kimataifa ziondoe taswira iliyozoeleka ya kuwa shida na ukosefu ni kwa rangi nyeusi, hata mtu mweupe anaweza kuwa na shida na ukosefu pia,,,WAREKEBISHE HAYA MATANGAZO NA MWELEKEO WA KI FIKRA!

    ReplyDelete
  3. waacheni waendelee kumeza tu siku akili zao zikija kufunguka watakuwa wameshachelewa. Mimi kama mtanzania wa kijijini namshukuru Mungu toka tatizo la mvua za el nino 1998/1999 hatujawahi kukumbwa na matatizo ya njaa kiasi cha kuua watu. Mungu ibariki afrika.

    ReplyDelete
  4. Nina kubaliana na comments zilio tolewa hapo juu.UN ina hitaji kuji rekebisha. Changamoto kama hizi ndiyo zina leta imani ndogo kwa UN. Watu wamechoka hakuna jipa.

    ReplyDelete
  5. Nyinyi mnatoa comment humu lazima mtakuwa mambo safi na maselfish hamjui kama Waafrica na watanzania walio wengi bado ni maskini sana, mmesahau njaa sasa mnafikiri kila mtu Africa ana maisha bora pumbafu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...