Bw Thadeo P Mpelasoka akiwa amembeba mkewe Juduth Kokwegasira baada ya kufunga ndoa hivi karibuni katika kanisa la Gera Bukoba mkoani Kagera.
Bi Juduth Kokwegasira akiwa katika pozo baada ya kufunga ndoa na Thadeo Mpelasoka katika kanisa la Gera Minziro Bukoba Mkoani Kagera hivi karibuni.
Bw Thadeo Mpelasoka akikata keki na mkewe Bi Judith Kokwegasira hivi karibuni baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Gera Bukoba mkoani Kagera,maharusi wote ni wenyeji wa mkoa wa Kagera.
Bi Harusi Judith Kokwegasira akiwa katika bustani baada ya kufunga ndoa na Thadeo Mpelasoka (hayupo pichani)katika kanisa la Gera Bukoba mkoani Kagera.


 
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...