Matukio mbalimbali  ya ziara ya uzinduzi wa Albam ya msanii nyota  wa nyimbo za Asili Mfalme Siboka. Mbali na hivyo huwa anatumia nafasi hii kufanya  shughuli za kijamii kwa kusaidia  na kutembelea watoto  yatima na wenye ulemavu wa ngozi  Kanda ya ziwa.  Ziara ilianza mwezi  May na kumalizika  mwezi August  kwa udhamini wa  BALIMI EXTRA LAGER NA KONYAGI. Ijumaa  ya wiki hii Mfalme Siboka atakuwa  Ukerewe katika  ukumbi maarufu wa   Nansio Social hall. Pichani juu akiwa na watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Golden Valley
 Mfalme Siboka anakubalika sana na watoto wenye ulemavu wa ngozi ambao hakosi kuwapelekea zawadi
 Zawadi wa watoto hao
 Mfalme Siboka akiwa jukwaani wakati wa uzinduzi wa kinywaji baridi cha Bismark Rocks mjini Geita
"....Asante Mfalme Siboka..." wanasema watoto hawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ningependa sana kuona shoo ya kiutamaduni, ama kweli nimekumbuka nyumbani. Narudi kimoja sasa.

    ReplyDelete
  2. Ankal nakuomba niwekee yangu machache hapa kwenye blog yetu. nina mitambo ya kukoroga na kupeki juice kwenye makatoni nitapendakuiuza maana sina muda wa kuitumia, pia nina mashine mpyaa heat press kwa ajili ya kubandika picha kwenye t-shirt pia nina mashine 2 mpyaa kwa ajili ya kubandika picha kwenye vikombe na vikombe vya kuanzia elfu 2 vipya kwenye mabox. vyote nauza. email yangu ni jacobmayillah@hotmail.ca

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...