Matukio mbalimbali ya ziara ya uzinduzi wa Albam ya msanii nyota wa nyimbo za Asili Mfalme Siboka. Mbali na hivyo huwa anatumia nafasi hii kufanya shughuli za kijamii kwa kusaidia na kutembelea watoto yatima na wenye ulemavu wa ngozi Kanda ya ziwa. Ziara ilianza mwezi May na kumalizika mwezi August kwa udhamini wa BALIMI EXTRA LAGER NA KONYAGI. Ijumaa ya wiki hii Mfalme Siboka atakuwa Ukerewe katika ukumbi maarufu wa Nansio Social hall. Pichani juu akiwa na watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Golden Valley
Mfalme Siboka anakubalika sana na watoto wenye ulemavu wa ngozi ambao hakosi kuwapelekea zawadi
Zawadi wa watoto hao
Mfalme Siboka akiwa jukwaani wakati wa uzinduzi wa kinywaji baridi cha Bismark Rocks mjini Geita
"....Asante Mfalme Siboka..." wanasema watoto hawa
Ningependa sana kuona shoo ya kiutamaduni, ama kweli nimekumbuka nyumbani. Narudi kimoja sasa.
ReplyDeleteAnkal nakuomba niwekee yangu machache hapa kwenye blog yetu. nina mitambo ya kukoroga na kupeki juice kwenye makatoni nitapendakuiuza maana sina muda wa kuitumia, pia nina mashine mpyaa heat press kwa ajili ya kubandika picha kwenye t-shirt pia nina mashine 2 mpyaa kwa ajili ya kubandika picha kwenye vikombe na vikombe vya kuanzia elfu 2 vipya kwenye mabox. vyote nauza. email yangu ni jacobmayillah@hotmail.ca
ReplyDelete