Katika
kuendeleza utalii wa ndani, timu ya Kijitonyama Veterans (pichani)
itafanya ziara fupi katika hifadhi ya Mikumi mwishoni mwa wiki hii. Kwa
mujibu wa waratibu wa ziara hiyo Hamza Nzoah na Majuto Omari, baada ya
kutembelea hifadhi ya Mikumi, timu ya Kijitonyama Veterans itacheza
michezo kadhaa ya kirafiki mkoani Morogoro.
Home
Unlabelled
Kijitonyama Veterans kuendeleza utalii wa ndani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...