Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Kinondoni 2012,Vivian Sirikwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na Warembo washiriki wa Shindano hilo (hawapo pichani) katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza rasmi kambi ya Redd's Miss Kinondoni inayozinduliwa leo katika ukumbi wa Ambassador Lounge,Jijini Dar.jumla ya washiriki 10 watapanda jukwaani siku ya ijumaa ya Septemba 14,katika ukumbi wa Danken,Mikocheni kuwania taji hilo la Ulimbwende Kinondoni.Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akisisitiza jambo kwa Warembo washiriki wa Shindano la Redd's Miss Kinondoni (hawapo pichani) wakati wa Mkutano na Wanahabari wa kuwatangaza warembo hao na kuitangaza rasmi kambi ya Redd's Miss Kinondoni inayozinduliwa leo katika ukumbi wa Ambassador Lounge,jijini Dar.jumla ya washiriki 10 watapanda jukwaani siku ya ijumaa ya Septemba 14,katika ukumbi wa Danken,Mikocheni kuwania taji hilo la Ulimbwende Kinondoni.Kushoto ni Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Kinondoni 2012,Vivian Sirikwa.
Warembo watakaoshiriki katika Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na Mwalimu wao,Jennifer Kakolaki (katikati) muda mfupi baana ya kutambulishwa kwa Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya JB Belmont,jijini Dar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...