Mwanandaaji wa mpambano wa Tamasha la masumbwi Mkoa wa Mtwara, Mahmoud Sinani kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya mpambano wa Bondia Mkongwe Rashidi Matumla na Patrck Amote litakalofanyika October 27 katika Ukumbi wa Makonde Beach Resort kulia ni Raisi wa TPBO Yassin Abdallah Picha na www.superdboxingcoach. |
Home
Unlabelled
maandalizi ya mpambano wa Bondia Mkongwe Rashidi Matumla na Patrck Amote Mtwara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Babu kubwa bro! Keep it up!
ReplyDeleteMtamuua huyo Matumla. Kapigwa juzi juzi tu hapa, halafu mnataka kumpiganisha tena?
ReplyDelete