Kwa mara nyingine tena TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION ikiongozwa na mwenyekiti Bi Rose Mwapachu,  imefanikiwa kupata madaktari kutoka  hospitali ya Taifa Muhimbili kujitolea muda wao wa mapumziko kusaidia kupima afya za wazee wasiojiweza. Leo watapima afya za wazee kituo cha Mbagala, Yombo, Kinondoni kata ya Kisutu na Kinondoni kata ta Mkunguni.
 
Wazee wengi wameonekana wana matatizo yanayohitajika vipimo zaidi katika hospitali za wilaya na pengine Hospitali ya rufaa.Tushikamane Pamoja Foundation itafanya jitihada za kuhakikisha wazee wanaohitaji huduma zaidi inapatikana
 Kazi ya kugawa dawa kwa wahitaji
 Madaktari na wanachama wa TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION
Madaktari wakiwa kazini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera Madakatari kujitolea wakati wenu kwa sadia wananchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...