Mdau
Sunday Shomari akiwa na Mai waifu wake Elinita Mhando wakati wa kumeremeta kwao leo katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar
es Salaam.
Maharusi Sunday Shomari na Mai Waifu wake Elinita Mhando wakivishana pete ikiwa ni ishara ya kufunga pingu za maisha mpaka Mungu atakapowatenganisha.
Padri akiongoza ibada ya Ndoa ya Mdau Sunday Shomari na Mai Waifu wake,Elinita Mhando mchana wa leo katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam.
Maharusi na Wapambe wao wakifuatilia Ibada ya ndoa.
Wapambee.
Maharusi na Nondozzzz zao.
Maharusi katika picha ya pamoja.
AU
kweli siku hz ndoa ni makaratasi zaidi..enzi zetu ulikuwa huwezi kuonesha makaratasi ya ndoa (vyeti) hadharani..ni mwiko!!
ReplyDeleteBabu Tiko- Greece
Beautiful...
ReplyDeleteBig up Sunday! Twakusubiri Washington Dc.
ReplyDeleteHomgereni sana maharusi na sunday usikose kuja houston kuja kupata BERBEQUE YA KUJIPONGEZA
ReplyDeleteyani mpaka msome kwenye madiko ndo mseme hisia zenu duu lakin nakutakiye kila la kheri na baraka tele sunday tunakusubiri d.c na maamaa tukufanyiye zinga la party mwamoyo ndo atakuwa kinara ha ha ha
ReplyDeleteumeshaoa sunday yani roho inaniuma si siri lakini nakutakia kila la kheri
ReplyDeletemdau idaho u.s.a
Hongera sana Sunday. Natamani ningekuwepo... ntakutafuta ukirudi USA.
ReplyDeleteBabu Yake
Sunday ulikuwa bado tu? haya tulia na wako sasa.
ReplyDeleteMdau wa idaho u.s.a Anonymous wa Sun Sep 30, 07:51:00 PM 2012
ReplyDeleteMara zote wanawake mikitakiwa mnakuwa mnanata sana na mapozi kibao, sasa wewe ulitaka akae Galacha ili uendelee kumdengulia?
......''umeshaoa sunday yani roho inaniuma si siri''
Na wewe usipoteze muda bureee itazidi kukuuma la muhimu tafuta mwanaume wa kukuoa!
Anonymous wa Sun Sep 30, 07:51:00 PM 2012
ReplyDeleteWewe mdau idaho u.s.a
...Pole sana!,,,kitakuchoma kijiba cha roho!
La muhimu usije ukajitutumua ukamvunjia ndoa Sunday Shomari inaoneka imekuuma sana na mara zote watu wa namna yako huweza hata kuhakikisha ndoa inavunjika ikiwezekana!
Mdau wa idaho u.s.a wewe Anonymous wa Sun Sep 30, 07:51:00 PM 2012
ReplyDeleteWakati Sunday mpo nae huko Marekani hukujitokeza kama ulikiuwa umapenda sasa ameoa inakuuma!
Wewe ulitaka abaki Kapera ili uendelee kumdengulia?
mdau wa idaho u.s.a
ReplyDeleteAnonymous wa Sun Sep 30, 07:51:00 PM 2012
pole na uchungu bibie huko uliko Jimbo la Idaho kuna baridi saaana chemsha maji ya moto 'ujichue'!!!,
Sunday huyooo na jiko lake ni siku chache utamwona huko Marekani anatesa kwa raha zake pika pakua!
Tatizo kubwa dada zetu wa huko Majuu hasa Marekani wengi hamuoleki!
wewe Anonymous wa Sun Sep 30, 07:51:00 PM 2012
ReplyDeletemdau wa idaho u.s.a tatizo wewe 'gwinji' ama kwa jina lingine 'guberi' huoleki ndio maana Sunday amekuja kuchukua mke Tanzania badala ya wewe huko Idaho-Marekani !
mdau wa idaho u.s.a
ReplyDeletemtoa maoni wa nane (8) hapo juu, ITAKUUMA SAAANA,
...''utakufa nacho kijiba cha roho''
umeula wa chuya!!!
ReplyDeletesunday kwa sasa yupo kifuani mwa manamke mwenzio wa Tanzania anabembelezwa!
wewe si uliringa?......mtoa maoni wa 6 hapo juu bibie mdau wa idaho u.s.a wewe ulitaka sunday aendelee kukaa na baridi ya marekani akiwa kapera ili uendelee kumtega?
Mwanamke wa Idaho USA wa sita hapo juu, kwa maringo na mikogo yako jamaa ameshindwa kukuona ingawa mko wote Marekani ndio maana amekuja kuoa Tanzania!
ReplyDeleteKwa nini usitafute Mzungu huko Idaho akuoe?
Hizo si ndio zenu madadaz wa Kibongo? mnababaikia sana Wanaume wazungu matokeo yake mnakuwa hamuoleki, huku mkiona watu wanaoa nyumbani tena inawauma!
Kila la heri Kaka Mkubwa Sunday Shomari!
ReplyDelete