Mkurugenzi mpya wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia) akiongea na Msaidizi wa Heshima wa Balozi wa Mexico Tanzania ( Honorary Consulalte of Mexico Tanzania). alipokwenda kujitambulisha ofisini kwa Mkurugenzi huyo (13,Sept,2012) ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya jinsi ya kusaidiana katika nyanja ya habari.(Picha na Mwnakombo Jumaa- MAELEZO).
Home
Unlabelled
MKURUGENZI WA MAELEZO AZUNGUMZA NA MSAIDIZI WA HESHIMA WA BALOZI WA MEXICO NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...