Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) wakisaini makubaliano ya msaada kutoka Uholonzi wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda jana jijini Dar es salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) jana jijini Dar es salaam wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza  umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyo balozi yuko very firm..sasa kinachomchekesha katibu mkuu sijui kitu gani mbaka kukenua hivyo

    ReplyDelete
  2. Mpaka mtoto wa mkulima atoke madarakani, wilaya ya Mpanda na Mkoa wa Katavi utakuwa umepata mengi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...